NDEGE za KIVITA za ISRAEL ZAFANYA MASHAMBULIZI kwa NGUVU LEBANON LICHA ya IRAN KUONYA HATUA HIYO.. @ONESMO SANGALALI - DAR CC; BAKARI MAHUNDU Mashambulizi ya anga ya Israel katika mji wa Tyre kusini mwa Lebanon yamesababisha vifo vya watu wasiopungua wanane huku wengine kadhaa wakijeruhiwa, baada ya jeshi la Israel kuanzisha operesheni mpya za kijeshi katika eneo hilo kufuatia amri ya dharura ya kuwaondoa wakazi wote wa mji huo pamoja na maeneo ya jirani. Mashambulizi hayo yameongeza hofu kubwa nchini Lebanon, hasa wakati ambapo mapigano kati ya Israel na kundi la Hezbollah yanaendelea kushika kasi na kuzua wasiwasi wa kuzuka kwa mgogoro mpana zaidi wa kikanda unaoweza kuhusisha mataifa mengine ya Mashariki ya Kati. ============================================================= ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 783 45136) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ MAKALA ZA WATU MAARUFU ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

global tv onlinetanzaniaglobal tv liveglobal tv newsSamia suluhu hassanwasafi tvmwigulu nchembakesi ya lissu leowaziri mkuuyanga scpoliticsahmed allyally kamwehabari mpyalive streamMillard Ayochademaccmrais samiadodomausa marekani trumpkassim majaliwamagufuliiran israelNDEGE ZA KIVITA ZA ISRAEL ZAFANYA MASHAMBULIZI KWA NGUVU LEBANON LICHA YA IRAN KUONYA HATUA HIYO